Nafsi na moyo wako utateseka maisha na utajilaumu na kulaumu wengine waende JEHANUM. Labda ulikua unapenda jamii yako na rafiki zako lakini kama HUKUMWAMINI BWANA YESU kufuata neno lake, UTAKUFA na uende JEHANUM. Hapo utateseka usiku na mchana ukijua ya kwamba famlia yako, na wapendwa wako watakufuata JEHANUM.
Kwasababu hukuwafundisha kufuata YESU. Ulikataa kuwapeleka ka kanisa lililofundisha BIBLIA Sababu nyingine, ni kwamba uliwafundisha MAFUNZO NA DINI ZA UWONGO "Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu. 27 Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, 28 Kwa kuwa ninao ndungu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. 29 Ibrahimu akasema, wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao. 30 Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. 31 Akamwambia, wasiposikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu. " – Luka 16:26-31 Utakumbuka dhambi zako na na kumbuka nyakati WEWE ulizomkatia roho mtakatifu akikukumbusha dhambi zako na ulivyokuwa muhimu kwako kumwelekea Kristo kama mwokozi. UTAKUMBUKA vile wakristo walikuambia uwe na mpango wa wakovu, unaweza kukumbuka vile Ibrahimu alivyomwambia tajiri katika Jehanum, “KUMBUKA”? " Ibrahimu akasema, mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro hivyo, alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa ” - Luka 16:25 |