Kutakua na wengine ambao wataamuka katika JEHANUM na maisha ya HAYA na KUTENGWA Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele. – Danieli 12:2 ईWale watahukumiwa na kutupwa katika ziwa la moto na aibu kwa sababu ya dhambi zao. Pia, watateswa milele na milele wakiofia maisha haya. Wengi wataishia katika ziwa la moto kwa sababu ya KOSA na mafundisho ya dini ambao zinafundisha Mungu mpenzi na mtakatifu hawezi kupeleka mtu katika MAISHA YA MATESO UKWELI wa mambo ni kwamba MUNGU atawauhukumu wote ambao walikataa YESU na kupelekwa katika JEHANUM ya mateso. " Kwasababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.- Romans 10:9 – Warumi 10:9 Hili ni jambo ambalo wengi wanakosea ati Mungu HAWEZI kumpeleka yeyote katika jehanum. Mungu alituumba tukiwa na uwezo wa KUCHAGUA kama tutaenda jehanum, ni sisi tulichangue. Biblia inasema dhahiri shahiri njia ya kwenda mbinguni. Lakini inahitaji tutoke kwa DHAMBI. TUBU na UMWAMINI YESU KRISTO. Yule asijamwamini na anakataa malipo ya damu takatifu ya Yesu Kristo. Malipo yake ni adhabu kubwa " Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu, Bwana wetu. – Warumi 6:23 "Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi hao waaminio wapewe ile ahadi kwa imani ya Yesu Kristo ." – Wagalatia 3:22 Mungu ametupatia kila mwanadamu wakati wa kutosha wa kusikia neno lake. Ile inatuonyesha kushinda kifo. MUNGU HATAKI ULIPE NAULI YA KWENDA JEHANUM. Anataka uje na kutubu. " Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali avumilia kwenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikilie toba" – 2 Petro 3:9 |