Je, una nguvu ya kufanyia wengine kinyume? Angalia usiwafanyie wengine kinyume wakati una nguvu. Unaweza kuwa na sifa za starehe na kutumia kipawa chako vile upendavyo lakini kama utakufa bila Yesu utatambua tabia hiyo ni tisho na hasara kubwa, na pia itakuwa haya kwako.
Kama jambo la kweli, Bibilia inatuambia tukifa katika mwili huu.tutakufa na tutaliwa na kuoza na kuliwa na funza. "Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita; tazama! Yamekuwa mapya" 2 Wakorintho 5:17 Kuepukana na adhabu ya milele mkubali Yesu kama Mwokozi wako SASA! Ijayo |