Lakini ukweli ni wazi kwamba Shetani ni mnyama hatari.


"Mwanadamu, umufanyie maombolezo mfalme wa Tiro, mwambie, Bwana Mungu asema hivi; Wewe wakitia muhuri kipimo, umejaa hekima, na ukamilfu wa uzuri." - Ezekieli 28:12


Funzo la kifungu hiki ni zaidi ya mfalme wa Tiro. Kwa sababu Shetani ndiye atakua mvuviaji na mtawala wa siri kaburini ile ya Tiro. Kiongozi hapa atakua Shetani mwenyewe ambaye ni kiongozi wa ulimwengu uongozi ambao alichukua bila haki kutoka kwa Mwenyezi Mungu.


Usimruhusu Shetani kukutumia wewe na kwamba utubu thambi zako na kumkubali Yesu kabla haujachelewa. Dhambi kwa Mwenyezi Mungu ni mbaya sana, neno la Mungu linatuonyesha hata malaika waliotupwa jehanamu kwa sababu ya dhambi.


“Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachila malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije hukumu; 2 petro 2:4


Wakati ni sasa wa kufanya uamuzi kumkubali Yesu Kristo na kumuamini kama mwokozi wako.ili kuepuka adhabu ya dhambi ambaye ni kifo, utafanya uamuzi sasa?

Ijayo