>
Jinsi gani wewe unatarajia kuishi maisha ya usoni? Ni hakika ya kwamba mtu ambaye amepotea atatupwa Jehanum pamoja na shetani. Tunajua hii kwa kutazama neno la Mungu;
"Naye alipofika ngambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana, wanatoka makaburinu, wakali mno,hata mtu asiweze kupitia njia ile. 29. Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tunanini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?" - Mathayo 8:28-29 "naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini. 28. alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake, akasema kwa sauti kuu, Ninanini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi usinitese Luke 8:27-28
Inaonekana ya kwamba mapepo mabaya yaliyokuwa ndani ya mtu huyo yalimjua Yesu Kristo: Mapepo haya katika jehanamu yatakuwa ya kutisha sana kuliko vile mtu anavyo weza kuelezea. Je, wewe wewe ambaye umepotea ninakuomba umpokee Bwana Yesu Kristo kama Mwokozi wako ili usipotee na kupelekwa katika jehanum milele na milele, usipotubu thambi zako, Yesu Kristo hawezi akakuokoa. Ijayo |