Changuo ni LAKO na HAKUNA MWIGINE anayeweza kukuchagulia KUFIKIA HAPO TUMESOMA YAFUATAYO JEHANUM NI: Mahali pa kuteswa na adhabu milele na milele; Mahali pachafu na uvundo mbaya Mahali pa moshi na maumivu; Mahali pa moto ambao hauzimiki milele na milele; Mahali pa kukumbuka na kujilaumu; Mahali pa kutengwa na Mungu milele na milele; Mahali pa udhalimu na dhambi; Mahali ambapo mtu hajiwezi milele na milele; Mahali utaona, kusikia, kishika, kuonja na kunusa Mahali utashirikiana na Ibilisi na mashetani Mahali ambapo tamaa hazita tosheka Mahali minyoo hawatakufa ; Mahali pa aibu na chukina Mahali sauti itasikika ni ya kilio, sauti za huzuni, na kusaga meno. Je, UMEMPOKEA Yesu Kristo kama Mwokozi wako, mwamini yeye pekee na atakuokoa. Lakini sio dini yako au matendo yako? Nakuombea kama hujamwamini na kumpokea Bwana Yesu, ufanye hivyo SASA na uepuke mateso ya milele UNAWEZA KUFANYA HIVYO:- Ukijua ya kwamba umepotea, kama huja mwamini Bwana Yesu Kristo kama mwokozi wako, (Yohana 3:18). Neno la Mungu lasema kwasababu wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu (Warumi 3:23) (रोमी ३:२३) MGEUKIE Mungu (kutoka moyoni mwako, kwa imani na utubu dhambi na kumtumaini). AMINI Yesu Kristo alikufa msalabani kama sadaka yetu. Lazima uamini Yesu alikufa kwa sababu ya dhambi zako na kwa ajili YAKO. Yesu ndiye anaweza kufuta dhambi zako. Mwamini Bwana Yesu Kristo (na roho yako; kwa hiari yako na kupenda kwako mpokee Bwana kama mwokozi wako). Muombe Mungu kwa zawadi yake ya wakovu wa maisha, muombe katika maneno yako kutoka kwa moyo wako ili akusamehe na kukuokoa. Sikitika kwa dhambi zako na tamani kusamehewa ili uokoe roho yako. Hii iwe ombi la kweli na halisi lakini maneno ya kujirudiarudia. UNACHOHITAJI NI KUOMBA! Wokovu ni HURU! “Kisha akawaleta nje akasema, “bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate kuokoka? 31 wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako. Matendo ya Mitume 16:30,31 TAFADHALI CHAGUA SASA:
|