Kukombolewa
Kwa Damu ya Yesu!



Tazama, kondoo wa Mungu

“MAANA MNAJUA KWAMBA NINYI MLIKOMBOLEWA KATIKA MWENENDO WENU USIOFAA AMBAO MLIUPOKEA KUTOKA KWA WAZEE WENU, SI KWA VITU VYENYE KUHARIBIKA: KWA FEDHA NA DHAHABU; BALI MLIKOMBOLEWA KWA DAMU TUKUFU YA KRISTO, AMBAYE ALIKUWA KAMA MWANA KONDOO ASIYE NA DOSARI WALA DOA.”
- Petro wa kwanza 1:18,19




Bila shaka, Damu ya Yesu Kristo Ndio zawadi ya dhamani Baba yetu wa mbinguni aliyopatia Kanisa siku hizi hatu sikii vya kutosha mahubiri ya Damu ya Yesu, ,”…….NA DAMU YAKE YESU KRISTO, MWANAE, INATUTAKASA DHAMBI ZOTE." - 1 Yohana 1:7.

Wakati Yesu aliposulubiwa msalabani kama miaka 2,000 iliyopita, ATIMAYE alikuwa ndiye dhabibu ya mwisho yaani dhabibu ya Damu kwelikweli.

·    Alichubuliwa kwa maovu yetu,
·    Alijeruhiwa kwa makosa yetu,
·    Kichwa chake kimevalishwa taji ya miiba,
·    His face beaten to a pulp. He was unrecognizable. The Bible says
     He was more marred than ANY man.
·    Mikono na miguu yake ilipigiliwa na makali ya vyuma vyembamba,
·    Ubavu wake ulichomwa kwa mkuki, baadaye akafa.

Mwokozi wa Ajabu kweli! Yesu alilipa deni ambayo hakudaiwa, Sisi ndio tulidaiwa deni ambayo hatuwezi kulilipa. Dhambi zetu zingelipiwa tu na damu ya Yesu. Katika Angano la Kale, dhambi za watu zilikuwa za kupatanishwa (i.e., kufunikwa). MAMBO YA WALAWI 17:11 inasema, " Kwa kuwa uhai wa kiumbe uko ndani ya damu nami nimewapa hiyo damu ili mfanyie upatanisho kwa ajili yenu wenyewe juu ya madhabahu, damu ndiyo ifanyayo upatanisho kwa ajili ya maisha ya mtu.”

Andiko hili lunazungumza juu ya dama ya wanyama, wale walikuwa wakitolewa dhambini ya mda kufunika dhambi za watu wa Agano la Kale, mpaka pale Masia angekuja na kutoa dhambihu iliyokamilika ya yeye mwenyewe kwa Mungu Baba. Tunasoma katika WAEBRANIA 9:12 "YEYE ALIINGIA MAHALI PATAKATIFU MARA MOJA TU, TENA HAKUWA AMECHUKUA DAMU YA MBUZI WALA NG'OMBE, BALI ALIINGIA KWA DAMU YAKE YEYE MWENYEWE, AKATUPATIA UKOMBOZI WA MILELE." Damu ya Yesu haikutupatanisha kwa dhambi zetu tu, bali aliziondoa milele!

Dhambihu ya damu ya Yesu ndio pekee yatosha kabisa.

WAEBRANIA 9:24-26 inasema, "MAANA KRISTO HAKUINGIA MAHALI PATAKATIFU PALIPOJENGWA KWA MIKONO YA WATU, AMBAPO NI MFANO TU WA KILE KILICHO HALISI. YEYE ALIINGIA MBINGUNI KWENYEWE AMBAKO SASA ANASIMAMA MBELE YA MUNGU KWA AJILI YETU. KUHANI MKUU WA WAYAHUDI HUINGIA MAHALI PATAKATIFU KILA MWAKA AKIWA AMECHUKUA DAMU YA MNYAMA; LAKINI KRISTO HAKUINGIA HUMO ILI AJITOE MWENYEWE MARA NYINGI, MAANA INGALIKUWA HIVYO, KRISTO ANGALIPASWA KUTESWA MARA NYINGI TANGU KUUMBWA ULIMWENGU. LAKINI SASA NYAKATI HIZI ZINAPOKARIBIA MWISHO WAKE, YEYE AMETOKEA MARA MOJA TU, KUONDOA DHAMBI KWA KUJITOA YEYE MWENYEWE DHABIHU." Damu ya Yesu mahali pa kiti cha neema mbinguni ndio kamilifu kabisa. Yesu alijitoa mwenyewe kama dhambihu mara moja tu.

Damu ya wanyama ingemwagwa mara kwa mara, mara nyingi, lakini damu ya Yesu ilimwagwa mara moja tu:

WAEBRANIA 10:12, ... DHABIHU IFAAYO MILELE, KISHA AKAKETI UPANDE WA KULIA WA MUNGU.
WAEBRANIA 7:27 ... YEYE ALIFANYA HIVYO MARA MOJA TU WAKATI ALIPOJITOA YEYE MWENYEWE, NA HIYO YATOSHA KWA NYAKATI ZOTE.
WAEBRANIA 9:28 ... ATAKAPOTOKEA MARA YA PILI SI KWA AJILI YA KUPAMBANA NA DHAMBI, BALI NI KWA AJILI YA KUWAOKOA WALE...
WAEBRANIA 10:10 KWA KUWA YESU KRISTO ALITIMIZA MAPENZI YA MUNGU, SISI TUNATAKASWA DHAMBI ZETU KWA ILE DHABIHU YA MWILI WAKE ALIYOTOA MARA MOJA TU, IKATOSHA.
WAEBRANIA 10:14 BASI, KWA DHABIHU YAKE MOJA TU, AMEWAFANYA KUWA WAKAMILIFU MILELE WALE WANAOTAKASWA DHAMBI ZAO.

Damu ya Yesu ina nguvu; inaokoa, ni damu ya kuponya. Ona vile damu hii ilivyofanya:

Yesu alikufa msalabani, Alizikwa kuthibitisha kifo chake, na akafufuka kwa ushindi mkubwa siku tatu baadaye.



“AMBAYE KWA NJIA YAKE TUNAKOMBOLEWA,
YAANI DHAMBI ZETU ZINAONDOLEWA.”

- Wakolosai 1:14



WAEBRANIA 9:22, "... NA DHAMBI NAZO ZAONDOLEWA TU IKIWA DAMU IMEMWAGWA. (msamaha)”

Kuanzia na damu ya kondooaliyechinjwa na Habili katika kitabu cha Mwanzo. Mpaka mavazi ya watakatifu yaliooshwa katika damu ya mwana kondoo katika kitabu cha ufunuo. Neno la Mungu limeiweka katikati ile dhambihu ya damu ya Yesu Kristo. Kifo cha Yesu kilikuwa na umuhimu kama vile dhambihu yake ya damu, na yote ina umuhimu sawasawa kuzikwa na kufufuka kwake; lakini mambo yote kuhusiana na matukio ya maisha ya Yesui yalikuwa yanaelekeza damu yake mbinguni.   . WAEBRANIA 9:24-26 “MAANA KRISTO HAKUINGIA MAHALI PATAKATIFU PALIPOJENGWA KWA MIKONO YA WATU, AMBAPO NI MFANO TU WA KILE KILICHO HALISI. YEYE ALIINGIA MBINGUNI KWENYEWE AMBAKO SASA ANASIMAMA MBELE YA MUNGU KWA AJILI YETU. KUHANI MKUU WA WAYAHUDI HUINGIA MAHALI PATAKATIFU KILA MWAKA AKIWA AMECHUKUA DAMU YA MNYAMA; LAKINI KRISTO HAKUINGIA HUMO ILI AJITOE MWENYEWE MARA NYINGI, MAANA INGALIKUWA HIVYO, KRISTO ANGALIPASWA KUTESWA MARA NYINGI TANGU KUUMBWA ULIMWENGU. LAKINI SASA NYAKATI HIZI ZINAPOKARIBIA MWISHO WAKE, YEYE AMETOKEA MARA MOJA TU, KUONDOA DHAMBI KWA KUJITOA YEYE MWENYEWE DHABIHU."  Huyo ni Mungu Baba. Yesu alichukua damu yake mbinguni kuonyesha kwa baba kwa kuinyunyiza kwa kiti cha neema. Hii ndio sababu Yesu alimwambia Mariamu katika Yohana 20:17, " USINISHIKE; SIJAKWENDA BADO JUU KWA BABA. LAKINI NENDA KWA NDUGU ZANGU UWAAMBIE:..."   Ilikuwa inambidi Yesu kuinyunyiza Damu mbinguni, kama vile Damu haingewezekana ichafuliwe kwa vyovyote vile kuhani mkuu wa Agano la Kale alivyofanya kwenye patakatifu pa patakatifu ndani ya hema.

"Shukurani zimuendee Mungu kwa kumtuma mwanawe wa pekee aje hapa duniani kulipia dhambi zetu… “ MAANA MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU HIVI HATA AKAMTOA MWANA WAKE WA PEKEE, ILI KILA AMWAMINIYE ASIPOTEE, BALI AWE NA UZIMA WA MILELE." ; Yohana 14:6)  
"Sababu ile ni kwa nini tumwamini Kristo pekee kwa wokovu ni kwa sababu ya Damu alioyomwaga kwa anjili ya dhambi zetu. Ni Yesu PEKEE aliye na alama za kupigiliwa vyuma vyembamba mikononi na miguu! Hakuna mwengine yeyote!
Wokovu upatikana kwa Yesu Kristo pekee sababu damu ya Mungu ilimwagika msalabani. (Matendo ya Mitume 4:10-12) JIHADHARINI WENYEWE; LILINDENI LILE KUNDI AMBALO ROHO MTAKATIFU AMEWAWEKA NINYI MUWE WALEZI WAKE. LICHUNGENI KANISA LA MUNGU AMBALO AMEJIPATIA KWA DAMU YA MWANAE." (Acts 20:28) Matendo ya \Mitume 20:28) Damu ya Yesu iliyotoka ndani ya mishipa yake haikuwa na dhambi, haikuwa imechafuliwa, damu ya Adamu, HAPANA, lakini ilikuwa ni damu ya Mungu.

Ni Damu ya Yesu ya KAWAIDA ile ilikuwa inyunyiziwe kiti cha neema Mbinguni.

Damu ilikuwa inyunyiziwe kumbuka, kwa kiti cha neema tangu baada ya kifo cha mnyama kwa niaba wa dhambihu, SASA Kristo ndiye, kwa sasa Ako kwa niaba yetu. Aliuawa kwa niaba yetu msalabani, akaingia ndani ya kifo kwa anjili yetu; na wakati alifufuka, alienda mbinguni, akaingia patakatifu pa patakatifu mbinguni, akanyunyizia damu yake ya thamana juu ya kiti cha nehema mbele ya kiti cha Mungu, na milele akamaliza maswali ya dhambi na akatuokoa kutoka kwa laana ya sheria. Haya yote yameelezwa vizuri katika Agano jipya. Webrania 9:12 inaeleza haya vizuri.

“Bali kwa damu yake mwenyewe aliingia mara tu katika patakatifu, akiisha kupata ukombozi wa milele kwa niaba yetu”.

Ata Biblia inaweka haya atharani wakati alipokamilisha. Hasubuhi ya kufufuka kwake alimtembelea Mariamu kaburini. Mariamu alipotambua ni yeye, akajiangusha kumuabudu, alitaka sana kumubuzu miguu yake, lakini kwa kusikitika, Yesu akamwambia “Usinishike, basi akaendelea na akamuelezea sababu ni kwa nini Mariamu haruusiwi kumshika hata kidogo.

"YESU AKAMWAMBIA, "USINISHIKE; SIJAKWENDA BADO JUU KWA BABA. LAKINI NENDA KWA NDUGU ZANGU UWAAMBIE: NAKWENDA JUU KWA BABA YANGU NA BABA YENU, MUNGU WANGU NA MUNGU WENU." (Yohana 20:17)

Kwa lugha ya kawaida Bwana Yesu alisema, “Usinishike; kwa sababu mimi karibu kwenda juu kwa Baba Yangu”. Tunaweza kitendo hiki wakati tukikumbuka kuhani mkuu wakati alipomaliza kutoa dhambihu, alikuwa aingie patakatifu pa patakatifu, kabla afanye jambo lingine lolote, akiwa na damu ya thamana. Hakuna yeyote aliyeruhisiwa kumkaribia karibu. Kila mtu alifungiwa nje hadi zoezi hii imalizike kabisa. Na hapa kwa kukutana kwake na Mariamu tunaona hayo yakitimia. Hapa Mariamu akutana na kuhani wake mkuu, aliyekuwa amefufuka kutoka kaburini, lakini kabla ya kuingia patakatifu pa patakatifu na damu ya upatanisho. Na kwa hivyo anamwambia, “USINISHIKE”

YEYE ALIINGIA MAHALI PATAKATIFU MARA MOJA TU, TENA HAKUWA AMECHUKUA DAMU YA MBUZI WALA NG'OMBE, BALI ALIINGIA KWA DAMU YAKE YEYE MWENYEWE, AKATUPATIA UKOMBOZI WA MILELE. - WAEBRANIA 9:12




Kama unatumaini juu ya mipangilio yako mizuri ikupeleke
Utaneda - HAPA -


  Wazi Biblia

Beats the devil





Rudi