When do we receive the Holy Spirit

Ni lini/vipi tunaupokea Roho Mtakatifu.

Mtume Paulo alifunza wazi wazi kwamba tukipokea Roho Mtakatifu wakati tumempokea Yesu Kristo kama mwokozi wa wetu. Wakoritho wa Kwanza 12:13, “Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa au ikiwa tu huru; nasi sote tulinyweshwa Rooho mmoja.” Warumi 8:9 yatuambia kwamba kama mtu hana Roho Mtakatifu huyo mtu si wa Kristo: “Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndaani yenu, ninny hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipolikuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.” Waefeso 1:13-14 yatufunza kwamba Roho Mrtakatifu ni muhuri wa wokovu kwa wale wote waaminio: “ Nanyi pia katika huyo mmekwisha kulisikia neon la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamini yeye, na kutiwa muhuri na Roho ule wa ahadi aliye Mtaktatifu. Ndiye aliye arabuni ya urithi wetu, ili kuleta ukombozi wa milik yake, kuwa sifa ya utukufu wake.”

Hizi kurasa tatu yalifany wazi kwamba Roho Mtakatifu anapokew wakati wa kuokoka. Paulo hawezi sema kuwa wote walibatizwa n Roho mmoja na wote kunyweshwa Roho mmoja kama si wakorintho wote waumini walipokea Roho Mtakatifu. Warumi 8:9 ni dhabiti sana, ikisema kwamba, ikiwa mtu hana Roho, yeye si wa Kristo. Kwa hivyo kuwa na Roho ni kitamblisho cha kuwa na wokovu. Zaidi ya hayo, Roho Mtakatifu haungekuwa “muhuri wa wokovu” (Waefeso 1:13-14) kama hatapokewa wakati wa kuokoka. Maandiko mengi zaidi sana yaifanya kuwa wazi kwamba wokovu wetu tutaupata tukimpokea Yesu kama mwokozi wetu.

Hili jadala la kutatanisha kwa sababu huduma ya Roho Mtakatifu mara nyingi huchangninyishwa. Kupokea/kujazwa kwa Roho Mtakatifu unatokea wakati wa kuokoka. Kujazwa kwa Roho Mtakatifu ni kitu kinaendelea katika maisha ya Mkristo. Tunaposhikilia kwamba ubatizo wa Roho pai watokea wakati wa wokovu, wakristo wengine hawaupokei. Hii wakati mwingine inaweza pelekea ubatizo wa Roho kuchukuliwa kuwa sana na “kupokea Roho Mtakatifu” kama tendo baada ya kuokoka.

Kwa malizia, twaupokeaje Roho Mtakatifu? Twaupokea Roho Mtakatifu kwa kumpokea Yesu Kristo kama mwokozi wetu (Yohona 3:5-16). Ni wakati gani tunaupokea Roho Mtakatifu? Roho Mtakatifu anakuwa miliki yetu ya kudumu wakati ule tunaamini.




AMAZING GRACE BIBLE INSTITUTE