Convert to Christianity

Ninawezaje badili kuwa Mkristo?

Mtu katika mji wa Ugiriki wa Filipi aliwauliza Paulo na Sila Swahili hilo. Tunajua yapata vitu vitatu kumhusu huyu mtu: alikuwa mfungwa, alikuwa kafiri, na bila tumaini. Alikuwa katika harakati ya kujitia kitanzi wakit Paulo alimkomesha. Na huo ndio wakati huyu mtu alimuuliza, “Nitafanya nini niokoke?” (Matendo ya Mitume 16:30).

Sababu kuu ailiyomfanya kuuliza swali yaonyesha kuwa alitambu hitaji lake la wokovu- aliona kifo chake mwenyewe, na alijua anaihitaji msaada. Hoja ya kumuuliza Paulo na Sila Sila swali yaonyesha kuwa aliamini kuwa wako na jibu.

Jibu hilo linakuja kwa upesi na njia ya urahisi: “Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako” (aya 31). Ufahamu waendelea kuonyesha vile huyu mtu aliamini na akaguzika. Maisha yake yakaanza kuonyesha utafauti kwanzia siku hiyo na kuendelea.

Kumbuka kwamba msingi wa ubadilisho wa mtu huyu ni imani (“amini”). Ilimulazimu amwamini Yesu, sio kitu kingine. Huyo mtu aliamini kwamba Yesu alikuwa Mwana wa Mungu (“Bwana”) na Mesia ambaye alitimiza maandiko (“Kristo”). Imani yake pia ilijumlisha imani kuwa Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi na akafufuka tena, kwa sababu huo ndio ujumbe ambao Paulo na Sila walihubiri (angalia Warumi 10:9-10 na 1Wakorintho 15:1-4).

Kumfanya maana ya juu ni “kumgeuza.” Wakati tunageuka kutoka kwa kitu, sisi kwa kuwajibika tunageuka kutoka kwa kitu fulani. Wakati tunamrudia Yesu kutoka kwa dhambi. Bibilia yaita kugeuka kutoka kwa dhambi “kutubu” na kumgeukia Yesu “imani.” Kwa hivyo, kutubu na imani vinakamilishana. Vyote toba na imani vyadhihirishwa katika 1Wathesalonike 1:9-“Mlimgeukia Mungu kutoka kwa miungu.” Mkristo atayasahu nyuma matendo yake ya kale na kitu chochote kinachohusu dini kama dalili ya kudilishwa kuwa Mkristo.

Kwa kuiweka rahisi, kubadilisha kuja Ukristo, lazima uamini kuwa Yesu ni mwana wa Mungu ambaye alikufa kwa ajili ya dhambi zako na akafufuka tena. Lazima ukubaliane na Mungu kuwa wewe ni mwenye dhambi na hakika unahitaji wokovu, na lazima umwamini Yesu pekee ili akuokoe. Wakati unageuka kutoka dhambi na kuja kwa Kristo, Mungu anaahidi kukuokoa na kukupa Roho Mtakatifu, ambaye atakufanya kiumbe kipya.

Ukristo ni uumbe upya,si dini. Ukristo, kulingana na Biblia, ni uhusiano na Yesu Kristo. Ukristo ni Mungu anatoa wokovu kwa ye yote anayeamini na kuwa na imani na dhabihu ya Yesu msalabani. Mtu anayengia katika Ukristo, aachi dini moja na kujiunga na nyinginye. Kubadilishwa kuja Ukristo ni kupokea tuzo ambayo Mungu anapeana na kuanza uhusiano wa kibinafsi na Yesu Kristo ambao waleta msamaha wa dhambi na uzima wa milele mbinguni baada ya kifo.

Je! Watamani kubadilisha kuja Ukristo kwa sababu ya yale ambayo umesoma katika nakala hii? Kama jibu lako ni naam, hapa kuna maombi rahisi unaweza yasema kwa Mungu. Kusema ombi hili, au ombi lingine, haitakuokoa. Ni kumwamini Kristo pekee ambao kunaweza kukuokoa kutoka dhambi. Ombi hili ni njia mojawapo ya kuonyesha imani yako kwa Mungu na kumshukuru kwa kuandaa wokovu wako.

“Mungu, ninajua ya kuwa nimkuetenda dhmbi na ninahitaji hukumu. Lakini Yesu Kristo akiuchukua hiyo hukumu ambayo ninastahili ili kupitia imani katika Yeye ninaweza kusamehewa. Ninaiweka imani yangu kwako kwa wokovu. Asante kwa neema na msamaha wako wa ajabu-tuzo la uzima wa milele! Amina.”



AMAZING GRACE BIBLE INSTITUTE